Maisha Marefu huja kwa Kuutunza Mwili

Maisha Marefu huja kwa Kuutunza Mwili
Fanya Mazoezi kulinda Afya yako

Ijumaa, 10 Aprili 2015

Maana ya kalori(Calories) katika mwili



Kalori ni kipimo cha nishati, katika lishe na lugha ya kawaida, Kalori ni matumizi ya nishati katika chakula na vinywaji na matumizi ya nishati ya mwili katika shughuli za kawaida za mwili. Kwa mfano, tunda la apple linaweza kuwa na kalori 80, lakini kutembea kilomita moja kunaweza kutumia mpaka kalori 100
Aina za kalori:


·         Kalori ndogo (Alama :cal)- ca 1 ni kiasi cha nishati kinachohitajika kunyanyua gramu moja ya maji kwa digrii moja ya Celsius.

·         Kalori(Alama: kcal)- Kca 1 ni kiasi cha nishati kinachohitajika kunyanyua kilogramu moja ya maji kwa digrii moja ya Celsius

Watu wengi wanakosea wanapohusianisha Karoli katika chakula na vinywaji, lakini kitu chochote kilicho na nichati kina kalori. Kwa mfano tani moja ya makaa yam awe inaweza kuwa sawa na kalori 7,004,684,512

Kalori kubwa 1= kalori ndogo 1000

Kalori ambazo huandikwa katika lebo za vyakula, huwa, kilokalori ambazao huwa na kiasi cha kalori ndogo 1000


Kwa nini kalori ni muhimu  kwa afya ya binadamu?
Mwili wa binadamu unahitaji nishati ili uweze kuwepo katika hali ya kawaida, bila nishati katika mwili chembe hai katika mwili huweza haribika na kufa, ikiwa hivyo moyo na mapafu vinaweza simama kufanya kazi zake.  Mwili unapata nishati kutoka katika vyakula na vinywaji.
Kama tutatumia kiasi cha kalori ambacho mwili unahitaji kila siku, hakika utafurahi kuwa na afya njema. Lakini matumizi ya kalori katika mwili yapo chini sana au juu sana, bila shaka utapata matatizo ya kiafya.
Kiasi cha Kalori ambacho kimo katika chakula ni kiasi kinachotuonyesha nishati iliyomo katika chakula hicho. Hapa chini kuna vipimo vya kalori katika aina kuu za

Jumamosi, 21 Machi 2015

Exercise for Persons with Cardiovascular Disease

Exercise for Persons with Cardiovascular Disease Cardiovascular disease is the leading cause of mortality in the U.S. It accounts for almost 50% of all deaths each year and affects nearly 14 million Americans. This number includes those with angina pectoris (chest pain) as well as persons with impairment of the heart’s ability to pump effectively (congestive heart failure), resulting in inadequate blood flow to the tissues. Nearly 1.5 million Americans have heart attacks each year, and about a third of them die. What’s more, heart attacks are equal opportunity killers: About half of the nearly 500,000 annual heart attack deaths are among women. And, every year more than 700,000 patients with heart disease undergo either bypass surgery or balloon angioplasty. Treatment for persons with heart disease is multifaceted and includes smoking cessation, cholesterol reduction, blood pressure control and exercise training.

Mazoezi ya viungo ya kuongeza hewa

Fanya mazoezi ili kuishi maisha marefu na nzuri. Pamoja na kula mlo kamili na lishe bora, unahitaji kufanya mazoezi ili kuwa na afya bora. Moyo wako kato ya misuli na wahitaji kufanya mazoezi ili iwe na nguvu kama misuli katika sehemu nyinginezo za mwili wako. Mazoezi yatakayosaidia moyo wako ni yale mazoezi ya viungo vya kuongeza hewa. Mazoezi haya yanaweza kusaidia katika: • Kuweka moyo wako katika umbo lake • Kupunguza uzito • Kupunguza mfadhaiko unaotokana na tatizo fulani • Kuzuia magonjwa • Kukuzuia kupata magonjwa •

Mazoezi gani bora kwa mwili wako?

Kila mwanadamu ana mwili tofauti na tunapaswa kufanya mazoezi kulingana na aina ya miili yetu. Tujifunze njia tofauti za kufanya mazoezi Kulingana na miili wetu. Je kuna uwezekano wa kuwa unaongeza uzito wako? Kila mwili wa binadamu umeumbwa tofauti na kwa njia ya kipekee kama alama za vidole. Hata hivyo tunaweza kutofautisha miili ya wanadamu kwa makundi matatu makubwa. Tutafanya hivyo kulingana na uzito wa mwili, misuli na mafuta kwenye mwili. Umuhimu wa kuelewa ni aina gani ya mazoezi unapaswa kufanya kuambatana na mwili wako unategemea na ujuzi ambao uko nao kuhusu mwili wako. Tatizo ni kuwa "kuna mzozo unaojitokeza wakati wa kufanya mazoezi". Kulingana na Juan Francisco Marco, profesa katika Kituo cha michezo na mafunzo cha Alto Rendimient kule Uhispania. ‘’Unapaswa kuamua iwapo utaboresha sura yako au utafanya mchezo iliongezea. Kuna aina tatu za miili kulingana na chembe chembe za urithi na maumbile ya mwili wako. Ectomorph:

Machapisho Maarufu

Kumbukumbu

Inaendeshwa na Blogger.